Soma hapa ikiwa unatamani kwenda kuishi Marekani

Mbona kwenye kipengele cha Tariff wameonesha malipo?
 
Bora usa kuliko bongo..huku hakueleweki..kila siku wansiasa wanazidi kufanya maisha magumu kwa wananchi..kama wewe ni graduate na huna mishe jaribu hii.

#MaendeleoHayanaChama
 
Acheni kudanganyana eti bongo ni peponi ukilinganisha na USA.

Maisha yoyote yana changamoto. Hata Marekani kuna changamoto lakini USA ni bora mara elfu ya bongo.
 
Niko YouTube hapa naangalia channel ya I am marwa.

Aisee Lazima nitaenda kuishi marekani siku moja.



Lakin watu wengi anaowaonyesha kwenda huko wameenda kihalali yaan kwa scholarship asa za masters.

Ukienda Bila elimu kutafuta maisha utapachukia kweli kweli
 
Kama huna fursa ya maana hapa nchini ni vizuri kujaribu kwenda kutafuta fursa sehemu nyingine.
Lakini ukweli ni kuwa kazi zipo lakini za kutumia nguvu ambazo wenyeji hawazitaki zinafanywa zaidi na wahamiaji.

Ukiweza kusoma ili upate elimu yao ni vizuri zaidi.
Lakini kama una fursa hapa nchini ni bora zaidi maana njia za kukua zipo nyingi na wazi zaidi.
 
Roho mbaya tulifundishwa shuleni utakuta mwanafunzi mtihani Ana uhatamia kinoma mradi mwenzake asije akaona akagezea wakalingana,unafichA mtihani ili iweje sasa
Yaani mmoja akeshe akijisomea, mwingine anabembea huko, halafu aachiwe aigilizie tu?! Ingekuwa dunia iko hivyo basi matajiri wangetoa mali zao kwa masikini kiulaini.
 
TATIZO NI T/SHILLINGS..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…