Cjui ni ushamba au ni nn bana.
Kuna shule moja ya msingi ambayo iko interior sana hata maendeleo kwao hakuna bac bwana cku 1 mwalim mkuu alibahatika kwenda shuken na Taxi dah! Madent wote wakatoka kwenda kuishanga wengine walizimia kwa woga. Cku ya 2 lilikuja Lory kubwa kwel haya wakatoka tena kushangaa na ktk mazungumzo yao walijadiliana na kusema,"hili ni DUME lile la jana litakuwa ni JIKE".