Salaam,
Tunapenda kuwataarifu wateja wetu kwamba hatimaye tumekamilisha maboresho tuliyokuwa tukiyafanya kwenye APP ya JamiiForums na sasa inapatikana ikiwa na muonekano mzuri zaidi pamoja na urahisi wa kutumia. Unaweza kuipakua sasa au kama tayari unayo tafadhali fanya Update ili kupokea maboresho hayo.
Kwa takribani siku 10, baadhi ya watumiaji wa device za mfumo wa Android mlikutana na changamoto ya kutoweza kuipata App ya JamiiForums kupitia Playstore; JamiiForums haipatikani Playstore. Nini tatizo?
Tunashukuru kwa uvumilivu wenu katika kipindi chote tulichokuwa tukiifanyia kazi.
Kuna swali lolote?
Karibu..
Asante mkuu kwa maoni.Kitu kimoja.
Hii app iwekewe uwezo wa mtu kuupload chochote, sasa hivi unaweza kuupload picha na video audio haiwezekani.
Na kuweza kuedit profile info kutokea kwenye app kuongezwe.
Pia ile traditional color ya dark blue ni bomba sana
mbona kwangu ipo...View attachment 695622
Mkuu bado kuna issues..
Nimelog out... kuja kusign in kuna option ya kuweka user name na password ila option ya kuruhusu kuingia haipo.
Mkuu, itakuwa ni network error kwa upande wako.View attachment 695622
Mkuu bado kuna issues..
Nimelog out... kuja kusign in kuna option ya kuweka user name na password ila option ya kuruhusu kuingia haipo.
Imeboreshwaje? Je maboresho yamehusisha kufuta thread za kipuuzi za Pro-CCM??? Kama hapana, basi maboresho yaliyofanyika yatakua ya kawaida sana. Hata hiyvo hongereni, kesho navaa T-shirt yangu ya JFKuna swali lolote?
Kwenye iOs hakuna tatizo mkuu. Ukikutana na taarifa za maboresho (new updates) tafadhali zisanikishe.Vip sisi wazee wa iOs?
Asante kwa pongezi mkuu. Pole kwa changamoto hiyo.Kwanza pongezi kwenu mods kwa maboresho, tumeyaona japo inaweza kutuchukua muda kidogo kuyazoea.
Halafu cha pili muwe mnasikiliza na kero nyingine za members, mfano mimi ni siku nyingine nimelalamika kufuhu notifications kwa email sizitaki, nimejaribu ku-unsubscribe lakini bado e mail zinaingia, hebu mnisaidie na hilo kwangu ni kero
Mkuu Elli, maboresho yaliyofanyika ni ya kiufundi kwa upande wa APP..Imeboreshwaje? Je maboresho yamehusisha kufuta thread za kipuuzi za Pro-CCM??? Kama hapana, basi maboresho yaliyofanyika yatakua ya kawaida sana. Hata hiyvo hongereni, kesho navaa T-shirt yangu ya JF
Bado nini mkuu? Tueleze kama kuna tatizo lolote tulifanyie kazi mara moja..Bado sana , najuta kufanya updates