Solution ya Kirus kinachofanya flash kuwa shortcut

ChaterMaster

JF-Expert Member
Aug 17, 2009
1,622
791
Wasaalam wakuu,
Kuna kirus nmekuwa nikisikia kinafanya mafile na mafolder yote kweny flash disk kuwa shortcut.
Sasa yamenikuta leo nipo kweny semina Morogoro nmempa flash mwanasemina mwenzangu kurudisha sioni chochote zaid ya shortcut ya flash. Hapa nmechanganykiwa maan nlikuwa nmeweka vtu vya msing sana kuhusu hii semina.
please..please ..anaejua antvirus au any other solution ya kuretrieve files&folder zang, anijuze hapa immeaditely il nifanye kaz vyema.
Nawasilisha ...thax in advance.
 
Unatumia windows gani nikupe maelezo
 
Kwa windows7
Fungua flash angalia chini ya navigation bar kuna sehemu imeandikwa organize then.nenda folder and search options nenda kwenye view tiki sehemu.imeandikwa show hiden.files.....
uncheck hide empty driver
uncheck hide protected operating system files
weka.ok

kwa windoes xp nenda tools afu options afu view afu.uendelee na.maelezo.mengine hapo
 
mkuu nashukur sana kwa ufafanuz , natumia w7- nmefanikiwa imefungua hidden files ila yanayoonekana ni mafile fulani ya virus2 hakuna files zangu orignal
 
Mkuu ukisha weka show hiden files and folder fata haya maelekezo..
hapo hapo chini kama sentesi ya nne kutoka kwenye show hidden files and folder

1. kunakabox kametikiwa kameandikwa hide protected operating system files toa hiyo tiki then.uweke ok utaona mafiles yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom