cyber ghost
JF-Expert Member
- May 8, 2015
- 239
- 162
Habari zenu wakuu
Mimi ni electrical engineer ambae nimejikita zaidi kwenye upande wa solar photovoltaic systems.
Shughuli ninazofanya nipamoja na;
1: kufanya mahesabu ya ukubwa wa solar utakaofaa kwenye nyuma,ofisi au kiwanda.
2:ufungaji wa solar panels maeneo mbali mbali kama juu ya paa au chini.
3: ufungaji wa solar kwenye pumps za umeme wa AC pia nafunga solar pumps(BLDC MOTORS)
Nina uzoefu wa miaka mitatu kwenye solar pv systems.
Nimesha design na kufunga solar plants za ukubwa wa 1kW,2kW,3kW, 5kW na 10kW.
Kwa yeyote mwenye kuhitaji kufungiwa au kupigiwa hesabu za ukubwa wa solar anaohitaji anaweza kunicheki PM tukapanga namna ya kuwasiliana.
Asanteni