Solar panel ya watt 100 Inanatafutwa.

Ukwelinauhakika

Senior Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
156
Reaction score
40
Wanajamii ninatafuta solar panel ya watt 100,ni sh. Ngapi? Na jee nitaipata wap? Naombeni mnijulishe sana jamvi
 
Upo wapi (your location)? Nadhani majibu yako yatajibiwa vizuri kama ukitembelea maduka yanayouza vifaa hivyo.
 
Upo wapi (your location)? Nadhani majibu yako yatajibiwa vizuri kama ukitembelea maduka yanayouza vifaa hivyo.

Kama uko dar nenda Kariakoo, @ watt ni 2500 to 3500.
 
Ila wahindi wauni sana san watakuanzia paref mkuu nenda na tembelea maduka meng kadri uwezavyo ili kupata duka litakalo kuwa cheap zaid
 
Wanajamii ninatafuta solar panel ya watt 100,ni sh. Ngapi? Na jee nitaipata wap? Naombeni mnijulishe sana jamvi

Solar panels ya 100watt original ni Kuanzia 750,000 mpaka 800,000 inategemea imetengenezwa nchi gani. Zile za Kichina ni kuanzia 280,000 mpaka 320,000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…