Solar Ndogo na Solar Kubwa

SNL SOLAR LTD

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
205
Reaction score
26
Kwa Huduma zote za Solar Ndogo na Solar Kubwa pamoja na vifaa vyote vya Solar.

SNL SOLAR tupo Sinza kwa Remy.

MAWASILIANO: 0714373488/0762246488/0784232526
 
Mwenye kujua naomba anijuze, bei za solar za walalahoi nguvu yake na guarantee, Niko dar.
 
Nyie hamjuagi hata biashara weka bei!
 
Tatizo umeme wa solar wa kuweza kukidhi haja ni zaidi ya milioni 10 ambapo bora uonge tanesco hata mil 4 wakuletee nguzo na umeme.
 
Habari zenu wadau wapi naweza pata Solar Unit ambayo
1. Inaweza run pump ya kisima (iliyozamIshwa )
2. Bulb zisizozidi 6
Nataka kujua ni watts ngapi zitatosheleza ?
Na solar panel za ukubwa gani zitatosha ?
Jee itagharimu kiasi gani ?
HP 2. Kisima urefu 70m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…