SunnyDaysTZ
Senior Member
- Jan 6, 2010
- 140
- 0
mimi natafuta itakayoniwezesha,kutumia vifaa muhimu kama tv,frige,ac,japo moja na taa kama 6 hivi.
ukihama si unaweza kuhama nayo? Isee mi nataka moja maana umeme unazingua sana kitaani kwetu. ke kwa mfano taa 2 na radio, tv, fan na fridge inaweza kufanya kazi? Niulize nilipo kwa namba 0712 202320 ili uniletee
ni PM tuongeee kwa kina mtu wangu Swali ni hivii Warranty inayo na services inakuwaje ni kiasi gani ni PM nipo Sirias