Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,521
- 13,999
Solar ya kuchemsha maji inauzwa jijini Arusha,iko kwenye hali nzuri sana.ukihitaji maelezo zaidi piga tourismtanzania@yahoo.com Bei ni karibu na bure.!
Solar ya kuchemsha maji inauzwa jijini Arusha,iko kwenye hali nzuri sana.ukihitaji maelezo zaidi piga 0752489529 au tourismtanzania@yahoo.com Bei ni karibu na bure.!
Mkuu kama bei ni karibu na bure basi punguza kidogo ili nije kuichukua bure...
Ninaweza kukupa bure inategemea JINSI yako"
Vipi wenye kodrai nao wanapata bure...???Ninaweza kukupa bure inategemea JINSI yako"
Namba kujua ukubwa wa Watts na made in wap