Wadau, kutokana na wingi wa bidhaa hii hapa nchini naomba kujuzwa wapi naweza kupata genuine solar equipments kwa bei reasonable. ninayoweza kupower nyumba yangu kwa ac maana yake nahitaji inverter.
Mara nyingi nimewasiliana na makampuni yanayojishughulisha na bidhaa hiyo lakini huwa hawajibu email zangu, these are rex investments, ensol, umeme jua etc.
ikiwa unajua duka au individual please let me know
hivi hamwezi kudisplay hizi bei kwenye website yenu?
Mkuu, mi si Rex, ni mteja kama wewe. Kuna kipindi nilikuwa nahitaji hiyo huduma ndo wakanitumia, ila ilichukua kama miezi 2 kupata hiyo price list yao ambayo ni bila installation fees, check na jamaa wa pale davis & Shirtliff wapo very active 0713 415689
wasiliana na Hilda Kiel wa Rex yeye ni marketing manager..0773 92 99 91
Hao Rex wanamapromise kama wanasiasa.
Jengo la Redcross kuna kampuni wanaitwa Zara, huduma bomba, vifaa jenuin, wapo hadi mikoani. Nimepata huduma yao kwenye nyumba 3 tofauti nawakubali.
Kuna kijana aitwa Safari-0713965023 anakufungia bila kufanya wiring mpya.
Huko kwingine kidhungu kingi ila huduma uwe mvumilivu