Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,974
- 13,434
Huwezi ku recycle nishati!Kuna watundu wanweza ku recycle huo umeme ukarecharge battery kwakuongeza baadhi ya vitu kwenye inverter.
Okay, okay, okay... slow your role a bit....!Tukiitendea haki hiyo Joules law of conservation of energy ni input energy ni solar panel ya 60W times time to be exposed to sun utakachopata kinaitwa energy(60W ni Power na sio energy). Uki expose kwa 0.1 second unapata 1 Joule of energy sasa hapo ndipo pakuanzia na hiyo kwenye output zako unaweza ukawa na jokofu la 600w unaweza kulitumi kwa 1/10 of the time to charge. Yaani lisaa 1.1 kwa siku. Ila kwa ushauri solar ya Watt 120 na battery 2 za N100 unweza kutumia TV na taa kama 10
Mkuu kabla sijaenda mbali, hiyo solar power system unayohitaji kwa hizo load itakugharimu pesa nyingi sana.Waheshimiwa mimi ninataka kununua solar power kwa ajili ya nyumba yetu kijijini ila sijui solar power complete inakuwa na vifaa vingapi na ni jina lipi zuri?
Solar power hiyo iwe na uwezo wa kuhudumia jokofu,taa za bulb 10 za 60w,jiko la kupikia,tv,pasi na kuchaji simu.
Natanguliza shukrani zangu.
cc: Mkeshaji Nzowa Godat Kiligo Anheuser simplemind
Nashukuru mkuu ila kwa bei hiyo nakuwa nimeshafeli,ngoja niangalie uwezekano wa kutoa hiyo pasi,jiko,feni na jokofu.Ila TV nataka iendelee kuwepo.Mkuu kabla sijaenda mbali, hiyo solar power system unayohitaji kwa hizo load itakugharimu pesa nyingi sana.
Load yako iko hivi:
Taa = 600W
Jiko 1 plate = 1000-2000W
Jokofu = 100 - 200W
Pasi = 1000 - 2000W
TV = 100 - 200W
Simu 1 (5V, 0.5A) = 2.5W
Ukijumlisha hapo unapata zaidi ya 3000W. Hiyo ni kama umetumia hivyo vitu vyote kwa muda wa saa 1.
Sasa kupata huo umeme wa zaidi ya 3000W ambao utaisha ndani ya 1 hour (at full load) unahitaji betri zisizopungua 5 za 140N. Solar panel area ya karibia standard house (ni eneo kubwa). Hii bei yake itakuwa ni kubwa sana kwa domestic use. Hapo bado inverter na makorokoro mengine.
Kifupi hizo requirements hapo siyo practical kwa matumizi yetu kibongobongo.
Mara nyingi tunatumia solar power kuwashia taa na kuchaji simu na matumizi mengine madogo madogo ambayo hayali umeme mwingi.
Siyo pasi, jiko, feni wala friji.
Kumbuka si kwamba haiwezekani ila inahitaji fedha nyingi sana. Kwa haraka haraka kwa mahitaji hayo uliyoyataja haiwezi kupungua kama 30M hivi.
Kwa kuwa mimi ni mtaalam wa physics dunia nzima, acha nisaidie kutoa ufafanuzi; hizo watt 60 za solar panel zitatoa charging current ya umeme ya kama 4.8 ampere hadi 5.3 ampere. Kwa hiyo battery ya 140AH itapokea kiasi cha karibia 58.3AH kwa siku ambayo jua limewaka kutwa nzima. Huo ni umeme wa kutosha kabisa na kubaki kama matumizi ni ya "kawaida" i.e. kuwasha taa za energy saver, kutumia laptop, kutumia tv ya kisasa ya LCD, ukiacha zile za CRT zinazokomba umeme yaani zenye visogo.
Nashukuru mkuu ila kwa bei hiyo nakuwa nimeshafeli,ngoja niangalie uwezekano wa kutoa hiyo pasi,jiko,feni na jokofu.Ila TV nataka iendelee kuwepo.
hahaha ndio zipi hizo kiongozi?acha ubahili, si unachukua zile za Uswizi mkuu
hahaha ndio zipi hizo kiongozi?
Nalog off
Ni kweli kiongozi itanibidi nimsubiri huyu ZZK akirudi nami niende Uswiss nikavute ambazo hajaziona.ukitaka uzione ndogo andika kwa usd, yani badala ya 30million andika $18,000. Zile ambazo ZZK anazifatilia, bwana washawasha ulitajwa. Chukua solar hiyo uepukane na mgao na itasaidia na ile salon ya JF pia
wewe unahitaji kuwa na watts 2500 isiwe chini ya hapo na gharama zake zitakuwa kubwa kwa mara moja lakini ukisha weka ndio imetoka hutaweza tena kulipa gharama zingine unakuwa umebana matumizi ya kipato chako na hutakuwa tena na matatizo ya umeme maishani mwako unawacha Tanesko kwenye Mataa ya Traffic. ukiweza wasiliana na mimi kwa njia ya Email yangu Address hii hapa fewgoodman@hotmail.com https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/385685-sola-ni-nini.htmlWaheshimiwa mimi ninataka kununua solar power kwa ajili ya nyumba yetu kijijini ila sijui solar power complete inakuwa na vifaa vingapi na ni jina lipi zuri?
Solar power hiyo iwe na uwezo wa kuhudumia jokofu,taa za bulb 10 za 60w,jiko la kupikia,tv,pasi na kuchaji simu.
Natanguliza shukrani zangu.
cc: Mkeshaji Nzowa Godat Kiligo Anheuser simplemind
Hakuna shaka kiongozi nikifika salama nitakutafuta.wewe unahitaji kuwa na watts 2500 isiwe chini ya hapo na gharama zake zitakuwa kubwa kwa mara moja lakini ukisha weka ndio imetoka hutaweza tena kulipa gharama zingine unakuwa umebana matumizi ya kipato chako na hutakuwa tena na matatizo ya umeme maishani mwako unawacha Tanesko kwenye Mataa ya Traffic. ukiweza wasiliana na mimi kwa njia ya Email yangu Address hii hapa fewgoodman@hotmail.com https://www.jamiiforums.com/tech-gadgets-and-science-forum/385685-sola-ni-nini.html