Msaada kuhusu solar power

Msaada kuhusu solar power

Mosiwakaya

Senior Member
Joined
Jul 22, 2014
Posts
185
Reaction score
35
Natumai muwazima, juzi nilikuwa naunganisha waya za solar zinazotoka kwenye power controler nikawa nimechanganya hasi na chanya kwenye betry ikapiga alarm nikawa nimechomowa lakini ilisikika harufu ya kama kitu kimeuungua

Nikaziweka vizuri zile waya na power controler ikawa inaonyesha inapokea moto kutoka kweye panel yaan ina chaj ila cha achabu toka jana nikiwasha inverter inapiga alarm yaan haina chaji tatizo ni nini hapa wadau?
 
Back
Top Bottom