Vazi lolote plus viatu, mpigo ni mara moja tu, kisha badilisha, fua, kausha (juani, most preferably) na kupiga pasi.
Dry cleaning is good but not the best method to handle your dirty clothes.
Bila kusahau taulo, henkachifs, tai, mkanda, saa, miwani, kofia, na mapambo yote.
Shuka ni siku 1 hadi 3 (kutegemeana aina ya mlalo husika!).
Godoro lipate muda wa kupigwa jua nje angalau mara moja kwa juma.
Hii ni pamoja na vyombo vya kulia, vyombo vya jikoni.
Nimesahau kutaja miswaki!!!
Hivi chanuo zinasafishwaga kweli??? Baada ya muda gani eti???
Vipi kuhusu kile kidude tunakanyagaga kufutia maji baada ya kutoka bafuni au kabla ya kupanda kitandani???
Zulia je???? Neti (kama zipo)??? Mapazia, vitambaa vya sofa??? Mara ya mwisho kusafisha kitanda chako CHOTE hadi uvunguni (siyo godoro), ni lini?
Hongera kwa wadada wanaoanika nje nguo zao za ndani. 🙂
Ruhusu hewa na mwanga wa kutosha uingie ndani wakati wote - ventilation.
Your health is a capital far greater than a coveted lifetime achievement smiling in your bank account.