Habari wana Jamvi,
Najua kuna post zilizopita kuhusu soka la vitunguu maji, lakini baada ya kupitia nimeona the latest ni 2014. Ninaomba kujua kama mtu yeyote anafahamu soko bora la vitunguu kwa mwezi December 2015 iwe ni ndani au nje ya nchi. Vitunguu ni aina ya Hybrid (Jambar F1) vinapatikana mbeya na ni zaidi ya Tani 1.4 ( zaidi ya magunia 140).
Wenye kujua hili naomba msaada.