Soko la unga wa muhogo liko wapi?

Joined
Mar 18, 2015
Posts
51
Reaction score
0
Wana JF....Habarini
Mimi nataka kuwa mkulima mzuri wa mhogo na nataka kuuza unga wa mhogo ulio mweupe kama unga wa ngano (Kivunde).....Nipeni sasa soko lake ikiwezekana na bei ya kila mahali ili tufanye biashara. Kwa sasa ninao kiasi wenye kutaka tuwasiliane Na. 0764 601903. UTAFURAHI..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…