i keep ma promise Senior Member Joined Feb 8, 2017 Posts 152 Reaction score 489 Jun 21, 2017 #1 Wakuu nauza tangawizi inakaribia tani 1 nipo tanga.
Pritty wa joseph JF-Expert Member Joined Jul 17, 2014 Posts 2,379 Reaction score 2,051 Jun 21, 2017 #2 Kavu au mbichi? Bei?
Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,493 Reaction score 7,417 Jun 21, 2017 #3 Ngoja nisikie nione
i keep ma promise Senior Member Joined Feb 8, 2017 Posts 152 Reaction score 489 Jun 21, 2017 Thread starter #4 Pritty wa joseph said: Kavu au mbichi? Bei? Click to expand... Mbichi mkuu
i keep ma promise Senior Member Joined Feb 8, 2017 Posts 152 Reaction score 489 Jun 21, 2017 Thread starter #5 Pritty wa joseph said: Kavu au mbichi? Bei? Click to expand... Mbichi mkuu bei 2500@kg
911 Platinum Member Joined Aug 22, 2008 Posts 856 Reaction score 504 Aug 20, 2017 #6 i keep ma promise said: Mbichi mkuu bei 2500@kg Click to expand... wapi huko inakouzwa 2500 mkuu
uberimae fidei JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 2,789 Reaction score 4,451 Sep 9, 2017 #7 911 said: wapi huko inakouzwa 2500 mkuu Click to expand... Vipi Mkuu bei yake ya sasa ni bei gani?
911 Platinum Member Joined Aug 22, 2008 Posts 856 Reaction score 504 Sep 10, 2017 #8 uberimae fidei said: Vipi Mkuu bei yake ya sasa ni bei gani? Click to expand... Kariakoo ni kati ya 800 na 1000 kwa kilo...iliyo mbichi(fresh)
uberimae fidei said: Vipi Mkuu bei yake ya sasa ni bei gani? Click to expand... Kariakoo ni kati ya 800 na 1000 kwa kilo...iliyo mbichi(fresh)
Akili 09 Nguvu 01 JF-Expert Member Joined Jun 23, 2015 Posts 695 Reaction score 1,393 Sep 11, 2017 #9 Mimi nauza na kusambaza Tangawizi kwa Mikoa ya Mtwara na Lindi kilo@1500/=. Nione pm tufanye biashara tangawizi fresh kutoka Songea zina maji mengi pia hazinyauki/kauki kwa haraka. Ahsante
Mimi nauza na kusambaza Tangawizi kwa Mikoa ya Mtwara na Lindi kilo@1500/=. Nione pm tufanye biashara tangawizi fresh kutoka Songea zina maji mengi pia hazinyauki/kauki kwa haraka. Ahsante
uberimae fidei JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 2,789 Reaction score 4,451 Sep 11, 2017 #10 911 said: Kariakoo ni kati ya 800 na 1000 kwa kilo...iliyo mbichi(fresh) Click to expand... Nina tani 20 ngoja bei ipande kidogo ntazileta mjini.au kama unajua mahali kuna Soko zuri wanachukua nyingi tuwasiliane pm mkuu
911 said: Kariakoo ni kati ya 800 na 1000 kwa kilo...iliyo mbichi(fresh) Click to expand... Nina tani 20 ngoja bei ipande kidogo ntazileta mjini.au kama unajua mahali kuna Soko zuri wanachukua nyingi tuwasiliane pm mkuu
kilambimkwidu JF-Expert Member Joined Jul 21, 2017 Posts 6,205 Reaction score 7,358 Sep 11, 2017 #11 uberimae fidei said: Nina tani 20 ngoja bei ipande kidogo ntazileta mjini.au kama unajua mahali kuna Soko zuri wanachukua nyingi tuwasiliane pm mkuu Click to expand... Upo wap mkuu tufanye biashara? Inahtajika tangawizi kwa wingi. Kuna kampuni inasafirisha viungo kwenda visiwa vya Ushelisheli kontena na makontena An ant on the move does more than a dozing ox.
uberimae fidei said: Nina tani 20 ngoja bei ipande kidogo ntazileta mjini.au kama unajua mahali kuna Soko zuri wanachukua nyingi tuwasiliane pm mkuu Click to expand... Upo wap mkuu tufanye biashara? Inahtajika tangawizi kwa wingi. Kuna kampuni inasafirisha viungo kwenda visiwa vya Ushelisheli kontena na makontena An ant on the move does more than a dozing ox.
uberimae fidei JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 2,789 Reaction score 4,451 Sep 11, 2017 #12 kilambimkwidu said: Upo wap mkuu tufanye biashara? Inahtajika tangawizi kwa wingi. Kuna kampuni inasafirisha viungo kwenda visiwa vya Ushelisheli kontena na makontena An ant on the move does more than a dozing ox. Click to expand... Nakuja pm Mkuu tuongee
kilambimkwidu said: Upo wap mkuu tufanye biashara? Inahtajika tangawizi kwa wingi. Kuna kampuni inasafirisha viungo kwenda visiwa vya Ushelisheli kontena na makontena An ant on the move does more than a dozing ox. Click to expand... Nakuja pm Mkuu tuongee
911 Platinum Member Joined Aug 22, 2008 Posts 856 Reaction score 504 Sep 14, 2017 #13 kilambimkwidu said: Upo wap mkuu tufanye biashara? Inahtajika tangawizi kwa wingi. Kuna kampuni inasafirisha viungo kwenda visiwa vya Ushelisheli kontena na makontena An ant on the move does more than a dozing ox. Click to expand... Wanachukua mbichi au iliyokaushwa...na kwa bei gani
kilambimkwidu said: Upo wap mkuu tufanye biashara? Inahtajika tangawizi kwa wingi. Kuna kampuni inasafirisha viungo kwenda visiwa vya Ushelisheli kontena na makontena An ant on the move does more than a dozing ox. Click to expand... Wanachukua mbichi au iliyokaushwa...na kwa bei gani