Soko la pilipili hoho

365

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
1,377
1,456
Nahitaji Wateja wa ndani na nje niwauzie pilipili hoho,nina mzigo wa kutosha,kila wiki,na kila mwezi kwa muda wa mwaka Mzima kuanzia mwezi huu wa kwanza mpaka mwezi wa kwanza tena 2017.

Kwa yeyote anayejua au anataarifa soko lilipo naomba anisaidie kunipa taarifa mapema sana.
Mimi Niko mbeya.
 
vip kuhusu bei aisee halafu hujaacha hata contact
 
Bei ya shambani debe moja ni shilingi elfu 8,

No yangu ya simu ni 0625889856
dah mkuu nimekutumia msg lakini naona hujibu haraka kama unavyojibu hapa, basi kwa faida ya wengine pia nauliza tu hapa , upo mkoa gani na unaweza ku supply kiasi gani kwa kila wiki?
 
Kiongozi mbona hiyo sms bado haijanifikia,cheki vizuri no uliyotuma huo ujumbe
 
Back
Top Bottom