Kuhusu kuchemsha kwa utafiti wangu ni kuwa endapo ikiwekwa coolant ambayo ni recommended na nissan wenyewe, na kama radiator haina tatizo lolote ni ngumu kuchemsha, ila kiukweli engine ya xtrail ni sensitive sana maana si aluminium ile so japo inapoteza joto haraka ila likizidi majanga matupu plus kuunguza sensors kadhaa kadhaa!Kwahiyo watu wanazivumilia kuhusu kuchemsha.
Sasa unataka watu wanunue mgonjwa waanze kumuwekea hayo madrip kila mahali sio?Kuhusu kuchemsha kwa utafiti wangu ni kuwa endapo ikiwekwa coolant ambayo ni recommended na nissan wenyewe, na kama radiator haina tatizo lolote ni ngumu kuchemsha, ila kiukweli engine ya xtrail ni sensitive sana maana si aluminium ile so japo inapoteza joto haraka ila likizidi majanga matupu plus kuunguza sensors kadhaa kadhaa!
Kuna jamaa anayo yeye ameingozea radiator njia kutoka 2 mpaka 6, na huwa anatumia coolant ambazo ni mahsusi kwa racing cars, then huwa anasafisha radiator kila baada ya muda fulani, na zile radiator pipes kaweka ambazo zina kipenyo kikubwa kwa kufanya hivyo anasema xtrail yake haijawahi chemsha na huwa anasafiri safari ndefu mara nyingi mfano Dar-Bukoba.
Kwa hiyo inawezekana kabisaa maujanja ya kuzifanya xtrail zisichemshe yakawa yashavumbuliwa na mafundi kwa hiyo sasa watu hawaziogopi tena!!
Pengine huenda watu wanapenda body la xtrail lilivyo kubwa so means kuna nafasi kubwa ndani maana dualis kwa umbo ni dogo kidogo kwa xtrailIngawa sina uzoefu wa Magari ya Nissan Ila naona ni Bora nissan dualis na Murano kuliko hiii X- trail
Hapana Don sina maana hiyo ninachomaanisha ni kuwa bado kuna watu wameamua kuwa wajasiri na kuzinunua tofauti na suv zingine ambazo ni bei rahisi pia kwa mfano mazda tribute, honda crv n.k wanunuaji hawa wameamua liwalo na liwe!!Sasa unataka watu wanunue mgonjwa waanze kumuwekea hayo madrip kila mahali sio?
share uzoefu basi mkuu hasa kwenye kuchemsha na incase ilikuwa ilikuwa 4wd je ni kweli kuwa 4wd hupungua nguvu baada ya muda na hata sometime hufa kabisa??Ndio ilikuwa gari yangu ya kwanza kumiliki.......
Tupe uzoefuNdio ilikuwa gari yangu ya kwanza kumiliki.......
Ndiyo maana nikasema "Kuhusu kuchemsha kwa utafiti wangu ni kuwa endapo ikiwekwa coolant ambayo ni recommended na nissan wenyewe, na kama radiator haina tatizo lolote ni ngumu kuchemsha" Je vipi kuhusu 4WD yake hebu tujuzeWatanzania wengi huwa wanapenda kuongelea vitu ambavyo hawavijui huwezi iongelea nissan xtrail kama hujawai imiliki au ukaongela kutaokana na experience ya mwenzio,
Je unajuaje hao wanaosema zinachemsha labda wana miss use gari, maana kuna watu hawafai pia kama x trail zingekuwa mbovu kama watazania wanavyosema nadhani ilibidi kiwanda kisizalishe.
Cha muhimu gari litadumu kutegemea na wewe mwenyewe ulivyo like mtoto umleavyo ndivyo akuavyo....
1.Usiongelee kitu kama hujawahi kimiliki tuache story za vijiweni
2. Nissan x trail ni gari nzuri sana cha msingi zingatia service as directed by nissan manufacturer usipende cheap spare parts ( hapa ndo pagumu)
Ni mwaka wa nane huu natumia hiyo gari na inatwanga mapori kama kawa tofauti na watanzania wavyosema....
4WD ya hii gari haijawahi niangusha, hizi gari watu wamezipaka tope kweli lakini kwa wanaomiliki wanazijua.Ndiyo maana nikasema "Kuhusu kuchemsha kwa utafiti wangu ni kuwa endapo ikiwekwa coolant ambayo ni recommended na nissan wenyewe, na kama radiator haina tatizo lolote ni ngumu kuchemsha" Je vipi kuhusu 4WD yake hebu tujuze
4WD ya hii gari haijawahi niangusha, hizi gari watu wamezipaka tope kweli lakini kwa wanaomiliki wanazijua.Ndiyo maana nikasema "Kuhusu kuchemsha kwa utafiti wangu ni kuwa endapo ikiwekwa coolant ambayo ni recommended na nissan wenyewe, na kama radiator haina tatizo lolote ni ngumu kuchemsha" Je vipi kuhusu 4WD yake hebu tujuze
Thanks kwa ushuhuda!4WD ya hii gari haijawahi niangusha, hizi gari watu wamezipaka tope kweli lakini kwa wanaomiliki wanazijua.
Ukizingatia taratibu zote za utumiaji wa chombo cha moto you can reach 50yrs with x trail
Bongo watu wamezoea toyota sana nadhani hii pia imechangia sana kuzipaka matope gari zingine kuwa hazifai, kingine wabongo walio wengi hawataki kulihudumia gari jinsi inavyotakiwa na hapo ndiyo sheeda inapoanza kwa xtrail mfano mtu anategemea ile coolant ya kibongo sijui inaitwa simba eti ipooze xtrail!!!4WD ya hii gari haijawahi niangusha, hizi gari watu wamezipaka tope kweli lakini kwa wanaomiliki wanazijua.
Ukizingatia taratibu zote za utumiaji wa chombo cha moto you can reach 50yrs with x trail
Acha mtazamo potofu kwani kuna sehemu wameandika for me au for ke, kushikiwa akili kwa watanzania ndo kumesababisha tumefikia hapa.Mkuu hizo ni gari za kike, tafuta landcruiser ukishindwa nunua suzuki
Tuliza mshono acha kutoka povuAcha mtazamo potofu kwani kuna sehemu wameandika for me au for ke, kushikiwa akili kwa watanzania ndo kumesababisha tumefikia hapa.
Je ni changamoto zipi ulikumbana nazo katika kuitumia hiyo gari?Ndio ilikuwa gari yangu ya kwanza kumiliki.......