W wakurochi JF-Expert Member Joined Dec 4, 2017 Posts 2,647 Reaction score 2,957 Jul 31, 2018 #1 Kuna taarifa kuwa wachina wananunua mihogo, na serikali imeingia mkataba. Mwenye kulifahamu hilo kwa upana naomba atufahamishe ili tuuze kwa mara moja mihogo yot Wakuu nawasilisha
Kuna taarifa kuwa wachina wananunua mihogo, na serikali imeingia mkataba. Mwenye kulifahamu hilo kwa upana naomba atufahamishe ili tuuze kwa mara moja mihogo yot Wakuu nawasilisha