abelexpeditor Member Joined Jan 27, 2017 Posts 67 Reaction score 30 Oct 23, 2017 #1 Habari za umundani Viongozi,naomba kujua kampuni yeyote ambayo inanunua mchaichai(lemonglass) moja kwa moja kutoka shambani Kama ipo au mawakala wapo naomba mawasiliano tafadhari. Hata njia ya jinsi ya kuwapata
Habari za umundani Viongozi,naomba kujua kampuni yeyote ambayo inanunua mchaichai(lemonglass) moja kwa moja kutoka shambani Kama ipo au mawakala wapo naomba mawasiliano tafadhari. Hata njia ya jinsi ya kuwapata
N nsereko m JF-Expert Member Joined Jul 28, 2015 Posts 2,930 Reaction score 2,175 Oct 24, 2017 #2 jaribu kuwasiliana na afri tea and coffee blenders (1963) ltd.
abelexpeditor Member Joined Jan 27, 2017 Posts 67 Reaction score 30 Oct 25, 2017 Thread starter #3 nsereko m said: jaribu kuwasiliana na afri tea and coffee blenders (1963) ltd. Click to expand... Asante Sana mkuu natafanyia kazi ushauri
nsereko m said: jaribu kuwasiliana na afri tea and coffee blenders (1963) ltd. Click to expand... Asante Sana mkuu natafanyia kazi ushauri