Soko la mbao za mninga

Soko la mbao za mninga

NDESSA

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2013
Posts
1,946
Reaction score
1,800
Wadau,mwenyekujua soko la hizi mbao au mwenye uzoefu na interest na biashara hyo naomba msaada pia unaweza kuni pm tukawasiliana zaidi.
 
mkuu sijakuelewa vizuri, unazo unataka kuuza? au unataka kununua?
 
una pieces ngapi na kwa size gani na ziko mkoa gani? niambie na gharama zako pia tufanye biashara
 
Dah najua muda mrefu umepita toka hii post iwekwe hapa,ila bado nahitaji kujua kama kuna mtu anahitaji mbao za mninga 2 x10x10. Kama yupo just let me know ili tufanye biashara.
 
Mh! Hapa 2wasubiri wadau husika wakupe njia
 
Wakuu bado tunaendelea kupokea ODA zenu! Kumbuka, hatuuzi magogo. Ni mbao zenye ukubwa(size) wa
(i) Inch 1 kwa inch 8 (1*8), urefu wa futi 10 (Mita 3)
(ii) Inch 2 kwa inch 6 (2*6), urefu wa futi 10 (Mita 3)

(iii) Inch 2 kwa inch 5 (2*5), urefu wa futi 10 (Mita 3)

(iv) Inch 1 kwa inch 5 (1*5), urefu wa futi 10 (Mita 3), n.k


Mbao ni za aina mbalimbali, kulingana na mahitaji yako!


NB: Kwa wale msiopenda usumbufu wa kusafiri hadi kufika katika ofisi yetu, wilaya ya Urambo, mkoa wa Tabora. Mnaweza kututumia barua pepe zenu (e-mail), kupitia namba zetu za simu ama barua pepe zetu;

Simu: 0784 324 102 / 0755 732 981 / 0784 667 480

Barua pepe: info@mihambos.com / sales@mihambos.com


Na tutakutumia MKATABA WA MAUZO/ MANUNUZI mara moja, ili taratibu nyinginezo ziweze kuendelea!


Karibuni sana.
 
Back
Top Bottom