Soko la mayai ya kuku wa kienyeji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Soko la mayai ya kuku wa kienyeji

Discussion in 'Matangazo madogo' started by che wa Tz, Sep 29, 2012.

 1. che wa Tz

  che wa Tz JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wakuu natafuta Soko la uhakika la mayai ya kuku wa kienyeji, kwa morogoro na Dsm. Ninayo ya kutosha
   
 2. b

  ba nso JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 640
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  funguka... upo wapi? ya kutosha ndo kiasi gani?
   
 3. Kig

  Kig JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 1,060
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Unauza shillinga ngapi kwa tray moja?
   
 4. che wa Tz

  che wa Tz JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  tray 500 kwa wiki, nipo moro, 10500 kwa tray
   
 5. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wasiliana na Ally Kiba ni mpenzi wa mayai. Huyu atakuunganisha na wenzake.
   
 6. M

  MR P New Member

  #6
  Nov 18, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  che wa TZ naomba namba yako,nahitaji tray 50
   
 7. T

  Tunsume Member

  #7
  Apr 22, 2014
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 68
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 15
  Tafadhali nami naomba namba zako za simu ili uniunganishe na soko la mayai ya kuku kienyeji zangu ni 0753087713
   
 8. T

  Tunsume Member

  #8
  Apr 22, 2014
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 68
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 15
  Natafuta soko la mayai kuku kienyeji tafadhali wasiliana nami 09753087713
   
Loading...