Soko la mayai ya kuku wa kienyeji

Soko la mayai ya kuku wa kienyeji

che wa Tz

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2011
Posts
277
Reaction score
71
Wakuu natafuta Soko la uhakika la mayai ya kuku wa kienyeji, kwa morogoro na Dsm. Ninayo ya kutosha
 
Unauza shillinga ngapi kwa tray moja?
 
tray 500 kwa wiki, nipo moro, 10500 kwa tray
 
Wasiliana na Ally Kiba ni mpenzi wa mayai. Huyu atakuunganisha na wenzake.
 
Natafuta soko la mayai kuku kienyeji tafadhali wasiliana nami 09753087713
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom