Wapendwa tupeane mchongo ndugu zangu.
Je ni soko gani kwa hapa Dar linaongoza kwa biashara ya maharage? Yaani kama naleta kutoka mkoani naweza kupeleka soko gani ambapo wanachukua bila usumbufu mwingi?
Pia ni aina gani ya maharage inayonunulika sana. Na kama una idea ya bei kwa mwezi April 2025 ni sh ngapi tujuzane. Asanteni sana🙏