Soko la kuku wa nyama

Soko la kuku wa nyama

jangala22

Senior Member
Joined
May 20, 2021
Posts
165
Reaction score
141
Habari wanajukwaa,

Kwa mwenye kujua soko la kuku wa nyama mkoani Mwanza anipe connection mimi napatikana Usagara.

Nina broilers 358 wanakaribia kuingia sokoni Bado week Moja tu.

Natanguliza shukrani
 
Jamani wanajukwaa mwenye kujua soko anijuze tafadhali Kwa mkoa wa mwanza
 
Pita kwenye mahotel, wakaanga chipsi, restaurant, na wanaopika chakula Cha masherehe, catering, uliza kote utapata soko.
 
Habari wanajukwaa,

Kwa mwenye kujua soko la kuku wa nyama mkoani Mwanza anipe connection mimi napatikana Usagara.

Nina broilers 358 wanakaribia kuingia sokoni Bado week Moja tu.

Natanguliza shukrani
Bei gani?
 
Back
Top Bottom