jogijo JF-Expert Member Joined Mar 29, 2019 Posts 262 Reaction score 509 Aug 30, 2019 #1 Ndugu zangu habari zenu, niko singida lakini natafuta soko la kuku mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, ikiwa uko na mtu ana uhitaji au wewe mwenyewe please DM me. Nitakuletea hadi mlangoni kwa idadi uitakayo na bei nzuri kabisa. shari'ng is caring...
Ndugu zangu habari zenu, niko singida lakini natafuta soko la kuku mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, ikiwa uko na mtu ana uhitaji au wewe mwenyewe please DM me. Nitakuletea hadi mlangoni kwa idadi uitakayo na bei nzuri kabisa. shari'ng is caring...
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,580 Reaction score 18,952 Aug 30, 2019 #2 peleka kwenye biashara na matangazo
jogijo JF-Expert Member Joined Mar 29, 2019 Posts 262 Reaction score 509 Aug 30, 2019 Thread starter #3 kabanga said: peleka kwenye biashara na matangazo Click to expand... nimejikuta nishaandika afu nikashindwa ku delete, kama waweza nielekeze pls sharing is caring
kabanga said: peleka kwenye biashara na matangazo Click to expand... nimejikuta nishaandika afu nikashindwa ku delete, kama waweza nielekeze pls sharing is caring