Mledi haswa
Senior Member
- Jan 17, 2013
- 161
- 172
wanajamvi nimefanikiwa kulima karanga na mimepata gunia 120 ila tatizo soko limekua adimu .mwenye kujua soko zuri aweke jamvini

uko wapi?Je,umeshapata soko?
nipe mawasiliano yako