T Tondwa New Member Joined Feb 6, 2014 Posts 2 Reaction score 4 Jul 27, 2014 #1 Habari zenu wana jamii !! napenda kuuliza kwa anae jua soko na bei ya karanga kwa gunia jijin dar sabu nataka kufanya iyo biashara . Natanguliza shukrani!!!!
Habari zenu wana jamii !! napenda kuuliza kwa anae jua soko na bei ya karanga kwa gunia jijin dar sabu nataka kufanya iyo biashara . Natanguliza shukrani!!!!
maishapopote JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 3,507 Reaction score 6,455 Aug 2, 2014 #2 Du hii itolewe huku....aisee sijui imefikaje huku