Soko la HIMARS lazidi kupaa

Kwanza huyo kakosea, HIMARS ni product ya Lockheed Martin.

Hao jamaa wanaproduce kutokaana na mahitaji ya USArmy na Pentagon
Kwa Sasa mahitaji yamekuwa mengi kutoka washirika wa NATO kama Poland, Finland..
 

Huyo Urusi kama asingeivamia Ukraine yote hayo yasingemkuta,hivyo kajitakia mwenyewe.
Narudia tena Urusi hana ubavu wa kuiannex Ukraine yote kwa hali aliyonayo sasa,jamaa anaenda kuomba silaha mpk Iran na North Korea ndo awe na uwezo wa kukamata nchi yenye 600k km²?! Waanze Kwanza kuiannex Ile Donbass yote waliyosema ni sehemu ya Urusi tuone kama wana huo ubavu.

Yani serious kabisa unasema Marekani ina Teknolojia ya zamani?! Hivi unaijua Trident II vizuri wewe,kombora linabeba vichwa 12 vya nyuklia kila kichwa kinaweza kupiga sehemu tofauti unaita Teknolojia ya zamani!!!!!? Halafu usichokijua ni kwamba 70% ya silaha za vita za Marekani zipo kwenye nyambizi (Ohio nuclear Sub) ambazo zinabeba hizo Trident.

Hizo S400 zimefanya maajabu gani kwenye hii vita,kama zinashindwa kutungua ndege za kizamani za Ukraine ndo zitaweza kutungua Makombora ya kisasa ya Marekani?! Himars inawatoa kamasi ije kua ICBM,aaah bro embu kua serious!

Ingekua ni rahisi kama unavyoeleza huyo Mrusi angekua kashaipiga Marekani Kwa hizo nyuklia zake siku nyingi Sana ila anaelewa ni nini kitamkuta endapo atathubutu kufanya hivyo.
 

Kaka Urusi imeanza kushambulia miundombinu ya Ukraine tangu September lkn mpk Leo Umeme upo japokua ni wa mgao. Ingekua ana hizo nguvu unazosema Leo hii Ukraine ingekua Giza totoro kama Nyantilili
 
Msamehe bro; kauli imemtoka bila kushirikisha ubongo sawa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…