Soko la bidhaa za Kilimo

Joined
Dec 18, 2017
Posts
7
Reaction score
3
Wengi tunakuwa na malengo mazuri ya kimaendeleo hasa ya kulima mazao fulani, lakini tunakwamishwa na shughuli mbadala ambazo nyingi ya hizo ni zile za ofisini..kwa kuona hilo CHALAJI COMPANY LIMITED imekusogezea huduma karibu zaidi...sasa unaweza ukasimamiwa shughuli zako kwa gharama ndogo na kutafutiwa soko la bidhaa zako za kilimo.
HATUA ZA KUFUATA.
1.Huduma zote huanza kwa kufahamiana na mhitaji huduma.
2.Kutembelea eneo shughuli itafanyika mfano shamba la mpunga/mahindi/mhogo n.k.
3.Kutathmini gharama za uwekezaji wa shughuli husika.
4.Mkataba wa usimamizi huwekwa kati ya kampuni na mhitaji huduma(kwa serikali ya eneo husika na/au mwanasheria anayetambulika na serikali).
5.Kuanza rasmi shughuli ya utekelezaji.

CHALAJI COMPANY LIMITED Tunajivunia kuwa tunaaminika na tunajiamini.

KARIBU TUKUHUDUMIE.
Kwa maelezo zaidi piga 0655333432 au tembelea:CHALAJI COMPANY LIMITED: TANGAZO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…