Nina asali safi tani 5, natafuta soko.
Bei ni maelewano, na kwa kukubaliana naweza kumsafirishia hadi popote ndani ta TZ.
Asali hii imetokana na misitu ya asili. Ni asali safi ambayo haikuchemshwa na ina viwango vya kimataifa; imekuwa approved na TBS