Na baya zaidi Tanzania hufikiria Gay ni Yule anayefanyiwa ndomana wengi hupenda kutumia mtoto rizki, wote hata mnayemuona Basha naye ni Gay haijalishi anamfanya mwenzake wa jinsia moja bila yeye kufanywa, uchafu umetawala wapige vita wote hao sio upande mmoja tu na Kama ushahidi hakuna msikurupuke waandishi wetu wengi habari zao wanaandika kishabiki waziwazi bila kujuwa kazi zao au wanapenda umaharufu tu.