Soka bwana halina adabu hata kidogo..

Soka bwana halina adabu hata kidogo..

adakiss23

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
4,896
Reaction score
5,259
Baada ya game mbili za ligi.
Simba. Yanga
Goals For 5. 0
Goals Against 0. 3

Aggregate: +5. -3

My take: wakati wa pre season simba walikuwa hawana raha kabisa.. Yanga full vicheko. Leo hali tofauti kabisa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hIVI NANI KAIPANGIA SIMBA RATIBA YA KUCHEZA MECHI TANO MFULULIZO NYUMBANI?
 
hIVI NANI KAIPANGIA SIMBA RATIBA YA KUCHEZA MECHI TANO MFULULIZO NYUMBANI?

Lazima atakuwa sendeu. Aaah! Nmekumbuka atakuwa kamanda chagonja.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ndugu mechi ya jana JKT ndo walikuwa wenyeji kwa taarifa yako usisahau kwamba u/wa taifa sio wa simba wal yanga!
Asante mdau, sa hivi wanasingizia ratiba wakati Rwanda mbali kweli mechi zote za kirafiki walishinda sasa wanalalamika kuanzia Mbeya.
 
hIVI NANI KAIPANGIA SIMBA RATIBA YA KUCHEZA MECHI TANO MFULULIZO NYUMBANI?[/QUO

yaani urgument yako ya kitoto kweli kwani ukicheza nyumbani ndo nini ? kama unajua unajua tu
 
Back
Top Bottom