Jamani mwenye ujuzi katika hayo mambo apo mawili naomba tupeane elimu jinsi gani hivi vitu vina weza kutengenezwa! Maana kuna project nataka kufanya na ivyo vitu vimo

katika maonesho ya nanenane huko lindi, vijana WA Veta kipawa wanaonesha hiyo technology ya sensor za unyevunyevu WA udongo
katika umwagiliaji WA kisasa, unaweza kuwacheki