Ndugu, kitu kama Linux especially ubuntu iko pouwa lakini inahitaji utaalamu kidogo kwenye kuitumia, mtu wa window ukimpa system ya linux hata kufungua browser inaweza kuwa ngumu kwake. Ila ukiijua ina-perform everything that window can do
On top of tht, linux imesheheni masoftware kibao na yana majina tofauti, media players ni tofauti, burning program ni tofauti, office zake ni tofauti...bt all zinafanya kazi moja. Ma-analyst wa ulimwengu wanadai mwaka 2014 ni mwaka wa linux, kwa maana kwamba linux ita-dominate windows OS. Hii ni according to google search.
http://www.cuduwudu.com/2011/04/2014-will-be-the-year-of-linux-humor
Nadhani uki-google utalearn lots on linux
Software za Windows hazirun kwenye Linux/Mac and vice-versa kuna baadhi ya software za Windows zinaweza kurun kwa kutumia emulators au similar kama Wine http://en.wikipedia.org/wiki/Wine_(software).
Windows ina kama 90% market share kwenye operating system za kompyuta, so ni duniani kote inatamba sio bongo tu. Inafuatwa na Mac ambayo ina kama 7-10% kisha Linux the rest, tena Linux ziko kama mia so Ubuntu ni chini ya 1% nadhani.
Hakuna Office ya Linux ila kuna alternatives., game karibia zote hakuna, market share yake ni ndogo sana haina soko.
kama ulikuwepo kwa kichwa changu, hivi ndio nataka kufanya ingawa kufanya patrition kunanizingua kidogona kwa sababu linux ni feee, unaweza download na ku-install on top of your windows, kisha ukajaribu na kuona how it tests, unaweza ku partition machine yako kwa kutukumia EASEUS Partition Master amabyo ni kama partition magic, una partition hardisk bila kuharibu windows yako, kisha hiyo free space utakayopata una-install ubuntu (kwa mfano) na unaweza ku google all the altenative software unazotumia ktk windows, e.g offce, cd bunners, browsers etc
Nimekupa mkuu, kwa kuanza nataka niweke dual bootable ubuntu na windows yangu, unaonaje hapo.So mkuu anza kutifunza Linux ili kuokoa kibarua chako.
Kama uko na enough diskspace ni jambo jema-kwani utakua unaiadapti polepole huku unahama katika windows polepole pia--Linux Bwana we acha tuu--yani kwa sisi watu wa production tuna render edited video shots sequences to complete video faster than in any OS--Mac achana nao mkuu, watakusumbua coz unatakiwa uwe na Hardware yao(Mac PC) na ukisema ulazimishe katika PC yako ya kawaida-utakua unafaidi enviroment ya mac tuu na wala sio power ya mac. ni kama kutia theme ya mac katika windows.kama ulikuwepo kwa kichwa changu, hivi ndio nataka kufanya ingawa kufanya patrition kunanizingua kidogo
Nimekupa mkuu, kwa kuanza nataka niweke dual bootable ubuntu na windows yangu, unaonaje hapo.
Nasikia mac inakuja na pc zake kabisa.
kama ulikuwepo kwa kichwa changu, hivi ndio nataka kufanya ingawa kufanya patrition kunanizingua kidogo
Nimekupa mkuu, kwa kuanza nataka niweke dual bootable ubuntu na windows yangu, unaonaje hapo.
Nasikia mac inakuja na pc zake kabisa.
Kama uko na enough diskspace ni jambo jema-kwani utakua unaiadapti polepole huku unahama katika windows polepole pia--Linux Bwana we acha tuu--yani kwa sisi watu wa production tuna render edited video shots sequences to complete video faster than in any OS--Mac achana nao mkuu, watakusumbua coz unatakiwa uwe na Hardware yao(Mac PC) na ukisema ulazimishe katika PC yako ya kawaida-utakua unafaidi enviroment ya mac tuu na wala sio power ya mac. ni kama kutia theme ya mac katika windows.
Hauhitaji kupartition kuinstall Ubuntu, unaweza kuiinstall kama program ya kawaida, kisha ukichoka unai-unstill kwenye add/remove kama software yoyote.
eeh hii mpya..hembu fafanua kidogo mkuu ''kang''...inakuwaje hapa,yaani unaistall katika window halafu unaitumia??
eeh hii mpya..hembu fafanua kidogo mkuu ''kang''...inakuwaje hapa,yaani unaistall katika window halafu unaitumia??
Nimewasoma ''zing na kang''...hii ni mpya kwangu..am goin to try..vp majina na ideaz zenu zinaendana..vp mna uhusiano wowote bandugu?? halafu wote mmejiunga tarehe na mwezi mmoja{24th June}...just tofauti ya mwaka!! m-meligundua hili??
Shukrani sana
Mkuu nimetembelea website ya ubuntu Download | Ubuntu nimekuta hii maneno ipo kweli, lakini mara zote na ktk site zingine naona wana refer windows vista, inawezekana na kwa windows 7?Unaiinstall katika Windows kama program yoyote ile, kisha inajiweka kwenye Boot Menu, utakapo restart PC kutakuwa na option ya kuboot Ubuntu au Windows.
Hapana-hatufundishi how to use LINUX, coz majukumu ni mengi ila tuna fanya installation/repairing tuu--But you may ask me some question about LINUX.mkuu huwa mnatoa training hapo chuoni kwenu???
Nimewasoma ''zing na kang''...hii ni mpya kwangu..am goin to try..vp majina na ideaz zenu zinaendana..vp mna uhusiano wowote bandugu?? halafu wote mmejiunga tarehe na mwezi mmoja{24th June}...just tofauti ya mwaka!! m-meligundua hili??
Shukrani sana
Mkuu nimetembelea website ya ubuntu Download | Ubuntu nimekuta hii maneno ipo kweli, lakini mara zote na ktk site zingine naona wana refer windows vista, inawezekana na kwa windows 7?
Je kwa staili hii iwapo windows itashambuliwa na virus na ku corrupt inamaana ubuntu nayo itakwenda na maji nikiformat?