Software ya risiva mpeg4 4669XII STRONG

kaka fuata link hii,strong-technologies.com/Products/Details/SRT%204669XII na download software ya pili baada ya sw ya mytv. Samahan nimepoteza modem yangu na cm yangu haiwezi kudownload file kwa 7bu memory card imeshaharibika kwa virus.
 
Kaka samahani kwa kuwa kimya sana.mkuu wangu ARSELONA nimejaribu kuidownload ile software ulonambia ila bado risiva inagoma.yaani ipo vilevile haipatch biss key na pia neno OPTION halipo.tena bado haisapoti dongle.bado naheshimu mawazo yako na pia bado nasubiri ushauri wako mwingine.kazi njema mkuu
 
Kaka arselona umenpa number but haipatkan. Shda yang n ushaur wa kiufund kuhsu risiva ya MPEG 4, ipi nzur budget yang n 150elf, nataka nipate chanel nyng za FTA pa1 na za local, ushaur wako pleaz.
 
Kaka arselona umenpa number but haipatkan. Shda yang n ushaur wa kiufund kuhsu risiva ya MPEG 4, ipi nzur budget yang n 150elf, nataka nipate chanel nyng za FTA pa1 na za local, ushaur wako pleaz.

nimekupm mkuu.
 
kaka nimeweka hapa software ya srt 4669xii. unachotakiwa kufanya ni kufungua file na kukopi utakachokiona kwenye usb flash yako tayari kwa data transfer kwenye stb(set top box) =recever yako: lifanyie kazi halafu nipe mrejesho
 
na mm nina 150 budget na dish yang fut sita npe ushauri nahtaj mpg 4
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…