Wakuu naomba tusaidieni kwa hili. Ni ipi software nzuri ya kutengeneza video na ku-design kama wanavyo design Kwenye TV like.. EATV, STAR TV etc.. Wakuu nisaidieni please!..
Wakuu na0mba tusaidieni Kwa hili.Ni Ipi software Nzuri ya kutengeneza video na ku design kama wanavyo design Kwenye TV like.. EATV,STAR TV etc.. Wakuu nisaidieni please!..
Wakuu na0mba tusaidieni Kwa hili.Ni Ipi software Nzuri ya kutengeneza video na ku design kama wanavyo design Kwenye TV like.. EATV,STAR TV etc.. Wakuu nisaidieni please!..
- Ubora/Uzuri wa design hutegemea uwezo wa designer mwenyewe.
- Yoyote kati ya Adobe Premiere Pro, Sony Vegas Pro, Apple FinalCut Pro, Avid, Edius.
Tofauti ni preference ya mtumiaji. Mashabiki na wahafidhina wa Apple/Macintosh huwa na tabia kusifia products za apple na kuponda zingine mara nyingi unjustly.
Kwa maoni yangu tofauti na bingwa Mphamvu (respect), Adobe Premiere Pro ni nzuri na powerful. Kitu ambacho ningelalamika kuhusu Premiere ni Uslow wake katika "vikompyuta" vyetu vyenye uwezo mdogo ila kuanzia Premiere Pro CS5 ambayo ni natively 64bit, ukiwa na Graphic Card ya Nvidia yenye technology ya Cuda (sorry for techy info, important anyway), Adobe Premiere inakuwa na uwezo mkubwa wanaouita Mercury Playback Engine ambao ni balaa!! Hata Ubora wa Products za Macintosh za Graphics zinatokana na kompyuta za Apple kuwa na specification za juu na ndiyo maana zinauzwa bei kubwa. Kama huna pesa ukanunua "kikompyuta" dhaifu usilaumu Adobe Premiere.
Kwa watu wa Windows ambao hawana kompyuta zenye nguvu sana Sony Vegas Pro itawafaa. Kwa upenzi wangu binafsi Adobe Premiere Pro CS6 is both beautiful and powerful.
Go Adobe Premiere.
NB. Vipindi na Matangazo ya Televisheni huwa na Graphics zenye mbwembwe (Motion Graphics) ambazo kwa kawaida hutengenezwa kwa programu zisizo za editing kama tulizozitaja... kama unataka mbwembwe hizo basi fuatilia Adobe AfterEffects na software yoyote professional ya 3D animation.
mkuu rahisi zaidi inaitwa wimdows movie maker inafanya vitu vyote basic na inakuja kwenye windows kama hutaikuta nenda website ya microsoft utaipata.
Mimi hapa ninayoipenda inaitwa magix video pro x5 hii ina feature nyingi sana japo si proffesional sana ila ni rahisi kutumia
inavitu kama hivi
-uwezo wa kueka text kwenye video
-kubadilisha sauti ya video kueka yako
-kukata na kuunga vipande vya video
-kuna effect mbali mbali za kueka kwenye video.
Magix ni ya kulipia so itafute torrent
file size yake inaukubwa gani.
Kwa anayejua simple software ya kutengeneza video isiyoacha watermark plz naomba aweke link hapa
SASA MBONA MOVIE ZA BONGO NI UTUMBO MTUPU.. WAKATI NAONA WATU WANAANGUSHA PROGRAM HUMU NA INAONYESHA WANAZITUMIA.. Au ni kwa ajili ya Kutengenezea Video za Harusi
Chief hii kitu magix mimi ninaitumia kutengenezea audio lakini huwa ninashangaa ninapoweka baadhi ya audio effects inaanza kukwamakwama nini tatizo mtaalam?mkuu rahisi zaidi inaitwa wimdows movie maker inafanya vitu vyote basic na inakuja kwenye windows kama hutaikuta nenda website ya microsoft utaipata.
Mimi hapa ninayoipenda inaitwa magix video pro x5 hii ina feature nyingi sana japo si proffesional sana ila ni rahisi kutumia
inavitu kama hivi
-uwezo wa kueka text kwenye video
-kubadilisha sauti ya video kueka yako
-kukata na kuunga vipande vya video
-kuna effect mbali mbali za kueka kwenye video.
Magix ni ya kulipia so itafute torrent
Chief hii kitu magix mimi ninaitumia kutengenezea audio lakini huwa ninashangaa ninapoweka baadhi ya audio effects inaanza kukwamakwama nini tatizo mtaalam?