Computer...!Kwenye kifaa gani?? Simu au kompyuta??
Kiongozi je picha zilipigwa kwa simu unaweza kuzirudisha!!Kwenye kifaa gani?? Simu au kompyuta??
Kiongozi je picha zilipigwa kwa simu unaweza kuzirudisha!!
Kama ni kwa ajili ya pc nipatie email yako nikutumie!Wakuu habari,
Msaada wenu kwa mwenye ujuz wa software ntakayoweza kutumia kurestore vitu nilivofuta.
Ahsanten wakuu
Thanks kiongoziNdiyo unaweza.
Jaribu kutumia Tasty Blueberry.
fellinjohn7@gmail.comKama ni kwa ajili ya pc nipatie email yako nikutumie!
Nisaidie kama ni kwenye simu nitumie nini kurudisha picha zilizofutwa plsKama ni kwa ajili ya pc nipatie email yako nikutumie!
Kwenye simu je??!Power data recovery
RECUVA