Software ya kuflash simu za Kichina inahitaji DownloadAgentlib.dll,Msaada jamani

Software ya kuflash simu za Kichina inahitaji DownloadAgentlib.dll,Msaada jamani

wakomong'we

Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
30
Reaction score
2
Ndugu wanaboard,nimepata software ya kuflash simu za Kichina ambayo ni GPDDragon Ver 2.13-www.MobileRdx.com,Binafsi kwenye pc yangu natumia Window7 Ultimate,ila kila nikijaribu kuinstall inadai niweke DownloadAgentlib.dll nimejaribu kila njia lakini sijafanikiwa naomba mwenye mawazo au hii program anisaidie ndugu zanguni,
Swala jingine nina samsung min laptop ambayo model wake ni N102SP,sasa hii min laptop nikijaribu kubadili Operating system kutoka window 7 Ultimate kwenda Window XP(SP2 au SP3) inagoma je nitumie njia gani hapa?
Natanguliza shukurani kwenu wadau,naombeni msaada wenu.Naamini sana katika JF
 
kat.ph/dll-files-com-fixer-v2-7-72-2072-incl-patch-resurrection-t6177325.html
 
mimi natumia GPG inafanya vizuri kwenye window xp Hatahivyo ngoja niangalie nitakujulisha
 
DownloadAgentlib.dllFirst Change DownloadAgentLib.dll File in GPG Dragon Setup

Download and Change DownloadAgentLib.dll Delete Frist DownloadAgentLib.dll and Paste
this DownloadAgentLib.dll and 2nd Check and Write G-right 1130 Frimware
 
Jisajili kwenye gsm forum utakuta Kitengo cha GPG watatua tatizo lako vinginevyo tumia window xp
 
Back
Top Bottom