Battery doctor nenda play storeWakuu Nina Samsung Yangu Mpya Galaxy J5. Kiukweli Inatunza Chaji Pale Ambapo Huitumii Ila Ukianza Kuigusa Basi Unaona % Za Chaji Zinavyoshuka.
Kwa Wenye Kujua App Gani Nzuri Ya Kutumia Ili Kuhifadhi Chaji Na Kutumia Simu Kwa Uhuru Plz.
Pia Nadhan Gsmarena Hawako Sahihi Kwenye Specification Za Simu. Mfano Kwenye Hii Galaxy J5 wameandika Betri Yake Ni 3100 mAh Wakati Kiuhalisia Ni 2600 Mah
Daaa hz mm huwa hata sina iman nazoBattery doctor nenda play store
Ukweli hilo nimelitambua. Ishu kubwa kama ulivyosema ni kudhibiti matumizi tuMkuu ulaji wa betrii kwa simu ni matumizi yako tu kaka
Unapaswa kujua vitu gani vina kukala sana chaji ili angalau uweze kujikontro kidogo
Kwanza tambua hakuna smartphone duniani inaweza kukizi mahitaji ya mtumiaji mkubwa wa simu
Hizo apps unazo uliza zinafanya kile hata wewe unaweza kufanya,
Jaribu kupunguza matumizi ya simu yasio na ulazima haswa social network
Vinginevyo tafuta power bank au ukikaa ofisini au nyumbani simu iwe kwenye chaji huku unatumia
Hakuna apps inaweza kutatua tatizo lako zaidi ya wewe kujikontroo