software ya kinanda kuconnect na computer

google helper

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
9,667
Reaction score
13,877
wakuu za usiku, jaman naomben mwenye ujuzi na utaalam pamoja na software nzur ya kuconnect kinanda pamoja na computer ..msaada jaman
 
kinanda kwenye computer huwa kinatumika km midi instrument...vinanda huwa vinatofautiana ktk uwezo.mfano midi keyboards huwa inahitaj usb ili uiconnect na pc vilevle chenyewe km chenyewe hakiwez kutoa saut yoyote kwasababu hakina sound bank ndan yake so inahitaj external plugin ambazo zina sound tofaut ili kutumika
Na kuhusu software ni kwamba mara nying kinanda kinatumika kwenye beat making softwares au DAW km FL,cubase,logic pro,reason nk.ambapo unaweza kuunganisha kinanda chako na ukakitumia bila tatizo lolote..
Natumaini nimejb swali lako km kuna tatizo au swali lolote usisite kuuliza
 

uko vizuri saana kaka bila shaka unaijua kazii hii uko pande zipi?
 
unamaanisha plugin ipi yenye sounds nzuri za guitar kama sijakosea#Deejay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…