Software Nzuri Kwa Ajili Ya Kuombea Mkopo

Software Nzuri Kwa Ajili Ya Kuombea Mkopo

masimango

Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
26
Reaction score
7
Habari za majukumu wakuu, ni matumaini yangu kuwa mnaendelea salama kabisa na juhudi za kulijenga Taifa letu.

Mimi naomba kuuliza kuhusu wapi naweza kupata software nzuri ambayo naweza kuitumia kwenye biashara ya mikopo kwa wafanyakazi katika mikoa na wilaya mbalimbali. Pia, naomba kujuzwa ni software ipi ni nzuri kwa ajili ya biashara hiyo ya mikopo kwa wafanyakazi.

Ni matumaini yangu kuwa natapata majibu ambayo yatanisaidia kutoka point moja kwenda pointi ya pili.

Naomba kuwasilisha
 
Tafuta ma developers wakutengenezee kulingana na mahitaji na vile unataka iwe
 
Back
Top Bottom