Software Developers msaada

Software Developers msaada

Joined
Aug 19, 2012
Posts
86
Reaction score
18
Habari zenu humu mimi beginner kwenye field hii ya software engineering ninaomba msaada kwa wale senior/experienced software developers..
Ninapata taabu sana kwenye swala zima la ku-initiate project lets say nina idea ya kitu flani nashindwa kujua niazie wapi (assuming ninajua language X)....
Jee kwa wale ambao wana ujuzi kwa hii field unapopata project unaanzaje nikimaanisha
1. unatumia mbinu gani
2.unadesign vipi software yako
3. una intergrate vipi module zako
4. how do you know what suppose to do what and when
5. jinsi function zako zinavyo wasiliana
6. how do you model your whole software
7. unatumia vipi UML(or any other modeling technique).
Ikiwezekana nipe A-Z jinsi ya kudesign the whole software from scratch tukianzia kwenye functional requirement, use case and so forth until you reach your goal....
Thanks in Advance
 
Hatua ya kwanza ni kuweka Profile photo professional. Avatars zisizo kichwa wala miguu hutufukuza wengi.
Software Engineering ni Sanaa na ni Sayansi. Ni sanaa kwa maana ubunifu wako katika kubumba suluhisho toka kwenye tatizo. Na ni Sayansi kwa kuwa kuna misingi ya kusimamia katika kufanya ubunifu huo.

Ulivyouliza swali inaonesha kabisa bado unaanza. Jifunze kutatua matatizo madogo, then utakuza uwezo wako taratibu

Anza na hii kwanza: About - Project Euler
 
Dah! Unataka aanze na project Euler! Kusolve hizo problems anatakiwa awe vizuri kwenye almost all branches of maths as well as good programming skills! Ni nzuri kuanzia hasa katika kuimprove problem solving skills!
 
Atafute anayoyaweza huko. Lengo sio kuwa prof. Euler bali ni kumsaidia kukuza uwezo wa kupambana na changamot, programming way. Nzuri kwa beginner!
 
Hatua ya kwanza ni kuweka Profile photo professional. Avatars zisizo kichwa wala miguu hutufukuza wengi.
Software Engineering ni Sanaa na ni Sayansi. Ni sanaa kwa maana ubunifu wako katika kubumba suluhisho toka kwenye tatizo. Na ni Sayansi kwa kuwa kuna misingi ya kusimamia katika kufanya ubunifu huo.

Ulivyouliza swali inaonesha kabisa bado unaanza. Jifunze kutatua matatizo madogo, then utakuza uwezo wako taratibu

Anza na hii kwanza: About - Project Euler

Then Hacker Rank
 
Usijichanganye sana na hayo mambo we anza unapojua wewe hivyo vingine vitakuja na experience.
Anza unapojua ukipata tatizo njiani utalitatua usianze kutatua matatizo ambayo hayapo.

Hizo coding challenge za Euler/Hacker rank zidhani kama zitakufundisha chochote kuhusu kuandika software za ukweli.
 
Unajua language ipi? Tuanze kwanza na hapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom