Mrs Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 1,002
- 2,292
Sofa za Kisasa na imara zilizopo katika hali nzuri zinauzwa. Ni za watu wawili kila moja. Zipo tatu. Huna haja ya kubadilisha kitambaa. Bei kwa kila moja ni 280,000 maongezi yapo kidogo. Zipo kimara mwisho dar es salaam. Wahi kabla hujawahiwa. Kwa mawasiliano piga 0718585346.