Pole mkuu yaani hata kukalia mwezi hujaisha tayari umeshaichoka sofa yako? Imetengenezwa wapi? Au ni zile za Orcadeco?Nauza Classic sofa ambazo ni two seater 1 na single seater 2, ni mpya kabisa hazina hata mwezi.
Bei Tsh 1,000,000
Ziko Makongo juu DSM.
View attachment 473374View attachment 473375View attachment 473376
Ingekuwa seti mzima tungeongea biashara!Ahsante mkuu, inabid tuhame mjini tuu
Shemelah wako ana watoto wengi hawatatosha kukaa kwenye viti vitatu.haina shaka boss,,mchukulie hata shemelah bc
Sichagui sibagui leta nos PMmichepuko iko shazi boss,,we nipe specification tuu nkupe unamba chaap
Ukiweza kuzisafirisha mpaka Chato nakupatia hiyo hela.