Sofa nzuri

Kwa mtindo huu kweli utapata wateja?
 
zinauzwa sofa nzuri

Mkuu Nascoba, nashawishika kusema Unamhitaji sana YESU ili uwe huru. Maana walio ndani ya YESU wako huru sana katika kuelezea biashara zao. Pia naona unahitaji na maombi sana kuifungua akili yako ielewe biashara ni nini na inatangazwaje. Ukihitaji haya tuko tayari kukusaidia. Wakuu hapo juu wamekuuliza kama utapata wateja kwa kasentensi kadogo hivyo. Tuliza akili tuletee matangazo yanayojitosheleza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…