Sofa la kukalia mtu mmoja

Sofa la kukalia mtu mmoja

Jeny faraji

Senior Member
Joined
Jan 20, 2018
Posts
164
Reaction score
34
Nauza sofa la ngozi la mtu mmoja kwa bei ya 150,000 tu
Halina ubovu wowote wala mchubuko wowote liko vizuri
Nipo Dar es salaam, kama unahitaji nitafute kwa namb >> 0693289203
 
CYMERA_20180310_155917.jpeg
 
Kitu kiti kizuri bei ya kawaida, sema watu glisi nayo imepanda bei,hawadharau ila wanaku-challenge tu . Usimaindi.
 
Sorry,
Ni Ngozi ya Mnyama gani iliyotumika hapo?
Manake wengine tuna miiko yetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom