St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,994
- 5,233
Hii Soda vipi wana jf? nikianza kuinywa tu gesi inakwisha hasa nyakati za usiku, wakatimwingine nakunywa mpaka nusu, kabla sijamaliza ishaflet, mwanzoni haikuwa hivyo nilikuwa nakunywa mpaka mwisho ikiwa na gesi yake, Kuna wakati nilishauriwa nibadilishe aina ya kinywaji kwani ninachotumia eti hakina ubora pia niangalie expire date lakini wapi! Mwanamke anaridhika na mwanaume anayekula na kunywa vizuri kile anachoandaliwa. Kabla sijaanza kunywa nakuwa na hamu sana.
Nifanyeje?
Sasa na wewe unafungua soda masaa sita unaiacha wazi?? unategemea gesi isiishe??? Raha ya soda fungua kunywa yoooooooote. Bwana mie nammiss charger tu hapa wengine nyie wote feki ha ha ha msinishushue????????????!!!!!!!!!!!!!!!

Dawa ni Moja!!!Kwanza Kunywa kwa MRIJA!Nawakati unakunywa hakikisha mrija unainginza kwenye chupa unautoa wakati unatazama hiyo soda haitaisha tena gesi!!Utatamani utoboe gesi itoke!!Ila swali je kunakinywaji kingine unatumia??
Mkuu naogopa kukufundisha jinsi ya kuinywa hiyo soda yako hapa jamvini ila nakuomba ukumbuke tu kuwa Deni ni Ahadi na nakuahidi nitakujibu katika PM na kukupa mbinu mpya za kuinywa hiyo soda,na haitaisha utamu kwani sisi wengine huwa tunakunywa soda hata saa nzima na haiishi utamu wala gesi.
Mountain Dew ni kiboko, kifaru mwenyewe inaifungia break!!!
Kwa lugha iliyotumika hapa, utaelewana wewe na Mjomba Mrisho Mpoto
Maushauri tu DA, sometimes utaambiwa usiwe na haraka take sometime before!
Halafu hebu nambie soda yenyewe ni soda gani hiyo unayokunywa ya chupa au ya kopo???? Maana za chumba nazo mmmmhhh zinakuwa nyingi mno bora ya kopo fasta ushaimaliza gesi unaisikiizia baadae
Husninyo, chemical zipi hizo? nidokeze kdg.
DA, Natumia ya chupa, ya kopo huwa siipendi wadai sio nzuri kwa afya!
Sasa na wewe unafungua soda masaa sita unaiacha wazi?? unategemea gesi isiishe??? Raha ya soda fungua kunywa yoooooooote. Bwana mie nammiss charger tu hapa wengine nyie wote feki ha ha ha msinishushue????????????!!!!!!!!!!!!!!!
DA, Nilikuwa cautioned before kwamba siku nitakayo request soda ya kopo na uteja utaishia hapohapo!