Social work and Social Administration

Social work and Social Administration

konvct

Member
Joined
Jun 1, 2015
Posts
6
Reaction score
1
Ni msichana wa miaka 25 natafuta kazi yoyote itayonifaa hali ya kua nimesomea social work and social administration. As long as iwe halal. Niko tayari kufanya.
 
Nina document zangu kibao hapa kwangu hazipo kwenye moangilio mzuri nataka mtaalamu wa kunifungulia mafaili na kuniwekea utaratibu mzuri wa kuhifadhi nyaraka zangu.......changamkia tenda mama
 
Back
Top Bottom