Social Walfare Officer

Social Walfare Officer

MZIBHAZI

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
520
Reaction score
139
Jamani hivi Afisa usitawi wa jamii ni mtu aliyesoma Sociology na social works tu?? je waliosoma Psychology hawawezi kua maafisa Ustawi wa Jamii??
Naomba kuwasilishaa
 
Kwani ninyi watatu mnasoma vitu vinavyofanana? tuanzie hapo kwanza
 
Sana vinafanana mkuu

Sio kweli havifanani but Kuna kozi mbili au tatu tunasoma woote...social welfare officer ni yule aliesoma social work...hao wwngine wanababatizwa tu...kwa sababu ile misingi ya social welfare hawaisomi
 
Back
Top Bottom